Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakijaribu kufanya mazoezi
katika mashine zilizo ndani ya Gym ya mazoezi ya timu ya Azam Fc, wakati
walipotembelea Gym hiyo kujionea leo baada ya hafla ya uzinduzi wa
Msikiti wa ‘Masjidil Huda’, kwenye Uwanja wa Chamazi, jijini Dar es
Salaam, leo.
Mkurugenzi
wa Makampuni ya SSB, Said Mohamed, (wa pili kulia) akitoa maelezo kwa viongozi,
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana na Mwenyekiti wa Makampuni ya SSB, Said Salim Bakhresa,
wakati walipokuwa wakitembelea kujionea Uwanja wa Azam Complex, unaomilikiwa na
timu ya Azam Fc, leo Chamazi.
Wakitembelea
Uwanja wa Chamazi, kujionea maendeleo ya timu ya Azam Fc , leo.
Mkurugenzi wa Makampuni ya SSB, Said Mohamed, (kulia)
akitoa maelezo kwa viongozi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, wakati walipokuwa wakitembelea kujionea Uwanja
Gym ya mazoezi ya timu ya Azam Fc iliyopo kwenye Uwanja wa Azam Complex,
unaomilikiwa na timu ya hiyo, leo Chamazi.
Mkurugenzi wa Makampuni ya SSB, Said Mohamed, (wa pili
kulia) akitoa maelezo kwa viongozi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan
Mwinyi, wakati walipokuwa wakitembelea
kujionea Uwanja Gym ya mazoezi ya timu ya Azam Fc iliyopo kwenye Uwanja wa Azam
Complex, unaomilikiwa na timu ya hiyo, leo Chamazi.
''2015 DKT SLAA ATANIKOMA'' Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akijaribu
kufanya zoezi katika moja ya mashine zilizo ndani ya Gym ya mazoezi ya timu ya
Aazam Fc, kwenye Uwanja wa Chamazi Complex, wakati walipotembelea Gym hiyo leo.
No comments:
Post a Comment