Msanii Mzee Small ambaye alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu amefariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 8/6/2014.
Hizi ni picha kutoka kwenye msiba na sauti kutoka kwa mwanae aliyekuwa naye hospitali wakati mauti yalipomkuta Mzee Small.
Hii ni jinsi mauti yalivyomkuta mzee Small.
Na hii ni ratiba ya msiba
Ukitaka kufika nyumbani kwa Mzee Small shuka kituo cha Tabata Mawenzi na hapo kuna bodaboda watakupeleka au kukuelekeza.
No comments:
Post a Comment