Saturday, 8 March 2014
WANAWAKE TUNAWEZA!
MAPAMBANO NI USHINDI, NA MWANAMKE NI MSHINDI WA MAPAMBANO, NA KAMWE HATAKUBALI KUJISALIMISHA, KWANI BADO ANAENDELEA KUPAMBANA, NA ANAPIGA HATUA SIKU HADI SIKU, MWANAMKE NI KIUNGO CHA KILA KITU, TUSHEREHEKEE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUJIAMINI NA KURINGA KABISA KWANI WANAWAKE TUNAWEZA!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment