Pages

Monday, 23 September 2013

MANCHESTER UNITED HOI MBELE YA MAN. CITY

Kocha wa Timu ya Manchester United David Moyes  amekalia kuti kavu baada ya Timu yake kuchapwa Goli 4-1 na wapinzani wao wa jadi Machester City.
 
Manchester City v Manchester United: live
 
 
Kikosi cha Moyes kilizidiwa kila idara na kuwafanya wapinzani wao kutoka kifua mbele.
 
Wakati huo huo Timu ya Arsenal  wameichapa Stoke City 3-1 huku Ozil ambaye ni mchezaji Mpya wa Arsenal toka Real Madrid akionesha ubora wa pasi zake zilizosababisha magoli yote matatu na kuifanya Arsenal wawe vinara wa ligi ya Uingereza.
Arsenal v Stoke City: live
 

No comments:

Post a Comment