Kocha wa Timu ya Manchester United David Moyes amekalia kuti kavu baada ya Timu yake kuchapwa Goli 4-1 na wapinzani wao wa jadi Machester City.
Kikosi cha Moyes kilizidiwa kila idara na kuwafanya wapinzani wao kutoka kifua mbele.
Wakati huo huo Timu ya Arsenal wameichapa Stoke City 3-1 huku Ozil ambaye ni mchezaji Mpya wa Arsenal toka Real Madrid akionesha ubora wa pasi zake zilizosababisha magoli yote matatu na kuifanya Arsenal wawe vinara wa ligi ya Uingereza.
No comments:
Post a Comment