Mahojiano na "Mtanzania" aliyedaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya nchini Misri. Anadai yeye ni raia wa Oman lakini mama yake ni Mtanzania.
Anadai kuwa alikwenda Misri kwa ajjili ya kumtafuta binamu yake na kwamba begi alilokamatwa nalo ni lake lakini alikuwa hajui kama lina madawa ya kulevya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment