Saturday, 24 August 2013

CHINA KUMEKUCHA ASKARI WAVAMIA VYUMBA VYA WABONGO KUSAKA MADAWA..

 

                                                                    
Stori:Erick Evarist

CHINA kumekucha! Sakata la kusafirisha madawa ya kulevya ‘unga’ linazidi kulitafuna taifa, safari hii limechukua sura mpya baada ya askari nchini China kufanya oparesheni maalum ya kuwanasa wahalifu wa biashara hiyo haramu nchini humo.
Kwa mujibu wa chanzo makini kilichozungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu kutoka China, baada ya vyombo vya habari kuripoti mfululizo juu ya mfumuko wa biashara hiyo, askari waliandaa mpango maalum wa kuwanasa watu wanaojishughulisha nayo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!