Selles
Mapunda ambae ni Scrip writer movie director & Relation officer@
Steps Entertainment LTD ambae anatafutwa usiku na mchana na Jeshi la
Polisi Kanda ya Kinondoni kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti msanii
chipukizi wa bongo movie aliyefahamika kwa jina moja la Nance
Selles
Mapunda akiwa ofisini kwake Steps maeneo ya Kariakoo Msimbazi Jijini Dar.
Selles
Mapunda na Wema Sepetu wakijadili jambo muda mfupi kabla ya kuingia lokesheni kwenye moja ya filamu za kampuni hiyo.
Selles
Mapunda
Director maarufu wa filamu
toka kampuni ya usambazaji wa filamu nchini ya Steps Entertainment
aliyefahamika kwa jina la Selles Mapunda akituhumiwa kumbaka na
kumlawiti msani chipukizi wa bongo muvi aliyefahamika kwa jina moja la
Nance.
imemegewa taarifa hiyo ya siri toka kwa chanzo chetu cha habari
kilichopo Polisi Oysterbay na kusema kuwa director huyo anakabiliwa na
kesi hiyo mbay toka mwaka jana lakini katika hali isiyotarajiwa amekuwa
akiwachenga polisi usiku na mchana na hata ofisini kwake hapatikani
licha ya polisi kuweka kambi ili kumtia mikononi.
Habari zaidi toka kwa chanzo hicho zilisema Mapunda alitenda kosa hilo tangu mwaka jana mwishoni mwa mwaka
baada
ya kumrubuni msichana huyo kuwa atamchezesha filamu na Wema Sepetu au
Uwoya hivyo siku hiyo msichana huyo aage nyumbani kwao kuwa hatorudi
usiku mizima kwa vile watakuwa na muda mwingi wa kuongea na mastaa hao
kuhusu filamu.
CREDIT VITUKO VYA MTAA.