Saturday, 27 July 2013
JAMANI JAMANI!...ANGALIA MADAWA YA KULEVYA YAMEMPASUKIATUMBONI HUYU KAKA ... HII NI TANZANIA NA SI NCHI NYINGINE.(TAFADHARI KAMA HUWEZI KUSTAMILI USIINGALIE VIDEO HII)
Wenzangu, ndugu zangu Watanzania, tujitahidi tutafanikiwa kwa njia iliyo halali, kweli wangapi tuko tayari kupoteza maisha kama hivi? kwa ajili ya tamaa ya kutaka utajiri wa harakaharaka, sina maana kuwa wote wanatamaa za haraka, ni shida ya maisha inawapelekea kufanya haya. Tusiwe wepesi wa kushawishiwa, hata karanga uza! jamani yote ni maisha iko siku utafanikiwa...Binafsi nalaani, na naomba mungu awasaidie wote waliopatwa na haya majaribu, wabadilike.................
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment