Thursday 25 April 2013

MKATABA WA UNUNUZI WA KIVUKO CHA DAR BAGAMOYO WASAINIWA



Waziri wa ujenzi Dr JOhn Pombe Magufuli,na Balozi wa Denmark nchini Tanzania wakishiriki katika utiaji saini wa mkataba wa kivuko cha Dar-es.salaam  mpaka   Bagamoyo, kivuko ambacho kitakuwa na uwezo wa kubeba  jumla ya abiria 300, kinatarajiwa kukamilika miezi minane ijayo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!