Thursday 25 April 2013

MTU MMOJA ADAIWA KUFA MAJI HUKO COCO BEACH MCHANA HUU.


Mwili wa marehemu ukiwa umefunikwa Khanga na wasamaria wema katika fukwe za Coco Beach....
 
Taarifa  zilizotufikia  hivi  punde  zinadai  kuwa  mtu  mmoja  (Pichani)  ambaye  bado jina lake halijafahamika  amekutwa amekufa kando ya fukwe za coco Beach, habari zaidi kuhusiana na kifo hicho bado hazijafahamika, Sophie Mbeyu blog itaendelea kukufahamisha zaidi....

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!