Tuesday 23 April 2013

MAJADILIANO KATI YA UJUMBE WA TANZANIA NA BENKI YA DUNIA, KUHUSU VIPAUMBELE NA MAENDELEO NA YA NCHI.


Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Bw Benno Ndulu, akiwa na Waziri wa Fedha Mhe, William Mgimwa.




Meneja wa ubinafsishaji sekta ya maendeleo kanda ya Afrika Bi Irina Khan, Mkurugenzi wa Mipango na uratibu kanda ya Afrika Bw Jan Walliser akijibu hoja katika majadiliano hayo. Kulia ni mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia wa nchi za Rwanda,Burundi na Uganda, Bw Phillippe Dongier.

Wafanyakazi mbalimbali kutoka Benki ya Dunia wakisikiliza kwa makini.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!