Monday 22 April 2013

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA WIKI YA KITAIFA YA CHANJO KWA WATOTO.






24Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mtaalam wa maabara wa kituo cha afya cha Mlandizi ,wilayani Kibaha katika mkoa wa Pwani, Bwana Sostenes  Nyang’olo, jinsi ya kuchukua vipimo vya damu na makohozi kutoka kwa wagonjwa wakati wa uzinduzi wa wiki ya chanjo kitaifa iliyofanyika huko Mlandizi tarehe 22.4.2013. 25


42


43Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifuatana na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mheshimiwa Dr. Seif Rashid wakishiriki kuimba na kikundi cha kwaya cha Anglican Compassion kutoka Bagamoyo wakati wa uzinduzi rasmi wa chanjo kitaifa ulifanyika katika kijiji cha Mlandizi  tarehe 22.4.2013.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!