Monday, 4 March 2013
VITUKO UCHAGUZI WA KENYA
Baadhi ya wakina mama wenye watoto ambao walitaka kukwepa foleni na kupiga kura mapema,walitakiwa kuwanyonyesha watoto waliokuwa nao ili kuhakikisha kama watoto waliowabeba ni kweli walikuwa wa kwao!
Haya yametokea katika eneo la Kondele,eneo linaloongoza kwa kuwa na historia ya vurugu za uchaguzi na idadi kubwa ya watu wasio na ajira.
Kwa habari zaidi bofya
http://www.bbc.co.uk/news/world-africa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment