Friday 29 March 2013

BREAKING NEWS... JENGO LAANGUKA KATIKATI YA JIJI WATU KADHAA WAPOTEZA MAISHA

 Jengo la zaidi ya ghorofa 10 katikati ya jiji la Dar es Salaam limeanguka asubuhi hii na kwamba watu wapatao 60, wakiwemo watoto wa Madrassa walikuwemo katika jengo hili. M...paka sasa maiti zilizoopolewa ni 14majeruhi zaidi ya 30 wamekimbizwa hospital. Mungu awapumzishe kwa amani marehemu hao na awashike mkono wote waliofikwa na tatizo hili SOPHIE MBEYU BLOG inaendelea kuwaletea taarifa zaidi.

Shughuli za uokoaji zinaendelea katika jengo hilo lililopo katika mtaa wa Indira gandhi.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!