Thursday 28 March 2013

UHAMIAJI MBEYA WAFANYA MSAKO KWA WAHAMIAJI HARAMU.

Idara ya uhamiaji mkoa wa Mbeya imewakamata na kuwafukuza nchini wahamiaji haramu 23 raia wa Burundi, wengi wao wakiwa ni watoto wenye umri wa kati ya mwaka mmoja na miaka minane.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!