Saturday 24 August 2019

Mrembo Sylivia Sebastian toka Mwanza aibuka mshindi wa Miss Tanzania 2019


Sylivia Sebastian ambaye ameibuka Miss Tanzania 2019, anatokea Mwanza akiwa ni mshindi wa Miss Mwanza 2019 lakini pia mshindi wa Miss Lake Zone. Sylvia anachukua taji lililokuwa likishikiliwa na Queen Elizabeth Makune na sasa ataiwakilisha Tanzania kwenye Miss World.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!