Saturday 24 August 2019

Idadi ya vifo vilivyotokana na ajali ya lori la mafuta mkoani Morogoro imeongezeka

Image may contain: 1 person, indoor
Idadi ya vifo vilivyotokana na ajali ya lori la mafuta mkoani Morogoro, imeongezeka na kufikia 101 hii ni baada ya majeruhi mmoja aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kufariki dunia Alfajiri ya  Agosti 23, majeruhi walio katika hospitali hiyo kubaki 14.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!