Wednesday 6 June 2018

BREAKING: Ajali ya Bus na Treni imeua watu 7

Leo June 6, 2018 Bus la  Princess HAMIDA trans lenye namba za usajili T 885 DLD linalotoka Kigoma kwenda Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora limegonga gari moshi la mizigo katika eneo la Gungu Wilaya ya Kigoma mjini.

Watu saba wamefariki huku idadi ya vifo ikihofiwa kuongezeka kutokana na hali mbaya za majeruhi.
Inaelezwa kuwa basi hilo nilikuwa likitoka Kigoma kuelekea Tabora.
Habari na Picha kwa Hisani ya Millard Ayo.com

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!