Monday, 16 April 2018

Goba, Dar: Wakimbizi wa Ethiopia wakamatwa huku wakiwa na maiti ya mwenzao aliyekufa siku mbili zilizopita

FB_IMG_1523848704336.jpg
Wakimbizi waliobainika kutoka nchini Ethiopia wamekamatwa usiku wa kuamkia jana Aprili 15, 2018 saa 9.00 usiku wakiwa wamehifadhiwa katika nyumba mojawapo iliyopo Kata ya Goba, jijini Dar es salaam. 

Mpaka taarifa hii ya wakimbizi hao kujulikana na polisi ni kutokana na mtu aliyewahifadhi mtaani hapo kuamua kwenda kutafuta usafiri wa gari kwa ajili ya kuichukua maiti ya mmoja wao aliyekufa siku mbili zilizopita ili kwenda kuitupa na ndipo alipobainika


FB_IMG_1523848723633.jpg

FB_IMG_1523848733783.jpg

FB_IMG_1523848712560.jpg

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!