Saturday, 2 September 2017

MUHIMBILI: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WAGONJWA WASIOFAHAMIKA WANAKOTOKA





Wagonjwa hawa wapata matibabu na afya zao zinaendelea kuimarika lakini hawajaweza kutoa taharifa sahii kuhusu wanakotoka na pia taarifa za ndugu zao.

Hivyo ndugu, jamaa na marafiki wanaowafahamu wagonjwa hawa wenye picha zifuatazo wafike Hospitali ya Taifa Muhimbili, kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano kwa Umma, Ofisi namba C5 ILIYOPO JENGO LA UTAWALA ILI KUWATAMBUA

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!