Wednesday 30 August 2017

Mitihani wa taifa wahairishwa

Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeahirisha mitihani ya kitaifa katika vyuo vya Afya 
nchini ambayo ilitakiwa kufanyika Septemba 1 2017 
kupisha sikukuu Eid Alhaj 
Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano 
Serikalini sekta ya Afya inasema kuwa mitihani ambayo 
ilipaswa kufanyika siku ya Septemba 1, 2017 ndiyo 
itakayoahirishwa na kudai mitihani mingine itaendelea kama kawaida. 


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!