Thursday, 26 January 2017

Watu 14 wafukiwa na kifusi mgodini Geita.


Watu kumi na nne akiwemo raia mmoja wa China wamefukiwa na kifusi katika machimbo ya dhahabu ya RZ  katika kijiji cha Nyarugusu wilayani Geita.
Wachimbaji hao wanaarifiwa kuwa walifukiwa saa nane usiku wa kuamkia 26 January 2017, Ambapo mpaka sasa hakuna anaejua kama ni wazima au wamepoteza maisha , zoezi la uokoaji linaendelea katika eneo hilo. 

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!