Monday, 23 May 2016

MWANAHABARI MTOTO GETRUDE CLEMENT ASEMA HAKUTENDEWA HAKI BAADA YA KUTOKA MAREKANI.‏

Getrude Clement (Kushoto) ni Mwanahabari Mtoto kutoka Jijini Mwanza ambae pia ni mwanamazingira anaewakilisha kundi la Watoto na Vijana katika Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa UN kutoka Tanzania.
Hivi karibuni alihutubia baraza la UN nchini Marekani na aliporudi bongo hakupata mapokezi makubwa kama tulivyozoea kuona wawakilishi wengine wakipata mapokezi ya nguvu watokapo nje ya nchi kuliwakilisha Taifa.
Sasa Getrude kafunguka sana kuhusiana na hilo pamoja na mambo mengine mengi so msikilize wakati akiongea na BMG!
Bonyeza HAPA Kusikiliza au Bonyeza PLAY Hapo Chini.

Getrude Clement (Kushoto) akizungumza na GB Pazzo @BMG (Kulia)
Tazama HAPA Video

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!