Thursday, 26 May 2016

MTOTO KAPOTEA



Mtoto huyu amepotea hailijukani wapi alipotoka hawezi kabisa kuongea. hivi sasa yupo kwa muda nyumbani kwa mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa ya Nyambwela, Kata ya Tandika. 

.‪#‎O‬.Njani, Mwenyekiti wa Serikali Mtaa wa Uwazi.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!