Sunday, 6 March 2016

Kila kitu kuhusu bi harusi!!

 
Hii ya Bouquet ya rangi moja nimeipenda ni Simple, si kila Bouquet lazima iwe namaua ya rangi nyingi kuna saa kitu kama hiki kinapendeza zaidi, kuliko kuwa na rangi mia mbili kama umebeba  bustani ya Eden!


Simple& beautiful!!







Mchanganyiko huu ni mzuri pia! 





 Najaribu kukuchanganyia mitindo mbalimbali kwa watu wa shepu zote, magauni mengi ya Harusi ni kama vile yanashonwa kwa ajili ya watu wembamba tu, ni mara chache kupata magauni ya harusi mazuri kwa watu wenye miili mikubwa, sijajua ni kwanini inakuwa hivyo!


























No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!