Saturday 9 January 2016

SHAMRA SHAMRA ZA MBWANA ZILIENDELEA MPAKA ESCAPE ONE MIKOCHENI!


Mawaziri January Makamba, Nnape Nauye wakiwa na mshindi wa Tuzo ya mchezaji bora Afrika Mbwanna Sammatta, Katika Hafla fupi iliyofanyika Escape one mikocheni.

Mbwanna Sammatta na Haruna Mbeyu katika picha ya pamoja


 January Mkamba na Wadau  katika Hafla  hiyo ya kumpongeza Mbwana Sammatta kwa Ushindi.




No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!