Thursday 7 January 2016

MELI YA MV SERENGETI YAPATA HITILAFU IKIWA SAFARINI

 



Abiria mia mbili sitini na nane waliokuwa ndani ya meli ya Mv Serengeti iliyokuwa ikisafiri toka bandari ya Mwanza wakati ikielekea bandari ya Bukoba wamepata wakati mgumu baada ya meli hiyo kupata hitilafu kwenye moja ya injini zake muda mfupi baada ya kuanza safari.


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!