Thursday 26 November 2015

Rais Magufuli afuta sherehe za maazimisho ya siku ya UKIMWI, fedha zinunue dawa...


Serikali yasitisha shughuli za maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani, Dec 1... fedha zikatumike kununua dawa za ukimwi - Dokta Fatma Mrisho,Mwenyekiti Tacaids



Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk John Magufuli Ametangaza kufuta Sherehe za siku ya Ukimwi.

Rais Magufuli Pia Ameagiza Pesa zote zilizotakiwa Kwenye Sherehe hizo Zitumike Kununulia Dawa.Ikumbukwe Tarehe 1 December Kila Mwaka Huwa ni Siku ya Ukimwi Dunia.

Sherehe hizo zilikuwa Zifanyike Kitaifa Mkoani Singida.

Taarifa Hizo zimetufikia Jioni hii japo Maandalizi yalikuwa yameshafanyika na Mkuu wa Mkoa alikwishafungua Maonyesho Kuelekea Kilele cha Siku hiyo 


CHANZO: CHANEL TEN

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!