Thursday, 17 September 2015

COLOURED HAIR EXTENSIONS-ZIKO BOMBA AMA!


Staili hii ya nywele za rangi imetamba sana miaka hii ya karibuni, wanasema nywele za rangi zinachangamsha sura, ni kweli baadhi yao wananoga haswa! lakini si wote inategemea  mtu na mtu, wengine unakuwa kituuko cha hali ya juu!




Sasa kama huyu sijui hata aliwaza nini, mie naona kama ni too much! hakunoga hata!





No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!