Wednesday, 12 August 2015

USHAURI TAFADHARI!


Mjomba wangu amenifanyia mapenzi kinyume na maumbile nataka kumshitaki mahakamani



Nina umri wa miaka 20 ni mvulana na ni mwanafunzi ninaishi na mjomba wangu mwenye zaidi ya miaka 40 kutokana na maisha kubana nyumbani niliamua kwenda kuishi naye uku nikitegemea kwenda shule.



Baada ya miezi mitatu tangu niishi naye aliniita usiku na kunivua kaptula na kunifanyia kitendo cha kinyama hicho na mara nyingi unitishia kunitimua kama nikisema sasa nataka anitimue nimshitaki.

Naombeni msaada nataka kumshitaki Mahakamani baada ya kunichosha na uchafu wake huu. Ukweli inaniuma kwa kunivua utu wangu mimi sina hela ila yeye anafedha ya kutosha yaani ni tajiri nataka ache mchezo wake wa kijinga huu.


CHANZO:JMF

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!