
Baada ya sokomoko za Diamond , Wema Sepetu na Penny urafiki wao umezidi kushamiri (Pichani) mashost hawa wanguvu wakipata futari pamoja katika mfungo wa ramadhan

Umoja ni nguvu!
Mla mla leo mla jana kala nini ! Wakati huohuo mtaa wa pili nako mambo yanaenda yakijiongeza Bibie mchezea kati Zari atupia picha za maendeleo ya ujauzito wa mkurugenzi Diamond! ikiwa ni siku za mwisho mwisho kabla mtoto wao mtarajiwa kuzaliwa













No comments:
Post a Comment