Saturday, 4 July 2015

NATAFUTA MUME WA KUNIOA-RAY C


  1.  
    Rehema Chalamila ‘Ray C’

    “Habari zenu wapendwa wote dunia nzima!Leo na habari nzuri sana kwenu,

    Naomba kuwatangazia kuwa natafuta Mchumba wa kuishi nae milele!

    nataka niwe nae milele na nimzalie watoto wawili wa kike na wakiume!!!! 

    Ila naomba niwambie kabisa masharti;




    1.Awe mpole ili nikikasirika anibembeleze 

    2.Awe anapenda muvi za kihindi ili nikiwa na stress aniwekee nyimbo za kihindi

    maana ndio raha ya moyo wangu. 

    3.Asiwe muongeaji sana sababu huwa sipendi makelele. 

    4 Anipende na ubonge wangu huu asije akaanza kunambia baby anza mazoezi

    au dah baby zamani ulikuwa bomba au rudisha kiuno hapo hatutaelewana. 

    5.Awe ananipikia nikichoka maana navutiwa nikimuona mwanaume anapika. 

    6.Awe na Mimi muda wote maana na wivu sana ikiwezekana tufanye

    kazi ofisi moja au awe ofisi ijengwe hapo hapo nyumbani. 

    7.Awe mvumilivu maana nikiwa na hasira huwa naongea kwa sauti ya juu sana. 

    Rehema Chalamila ‘Ray C’

    8.Asiwe na rafiki wengi,na akitaka kuonana nae na mi niwepo

    maana si mnajua wanaume tena wakikutana huwa wanashaurina mabaya.

    9.Awe anajua nyimbo zangu zote ndio ntaamini kweli ananipenda. 
    10.Sharti la mwisho kabisa ambalo ni muhimu sana kwangu ni hili tuwe

    tunatumia simu moja na Namba moja, maana kanisani tunafundishwa kuwa

    ndoa maana yake tumeungana na kuwa kitu kimoja kwahiyo kama mume

    na mke tunalala pamoja kitanda kimoja na kuishi pamoja kwanini

    tusitumiesimu moja!Sioni tatizo!Kama una ndugu,jamaa.kaka,rafiki yuko single

    basi mjulishe tangazo hili huezi jua unaeza ukashangaa nimekuwa

    shemeji yako au wifi yako”.


7 comments:

Unknown said...

Hii imekaa vzuri sana, sasa unapatikanaje? Maana hata mawasiliano hayapo!

Anonymous said...

Nimeponda sana ila namna ya kuipata mrembo!

Esdraskitakyablogger said...

Kutoka Beni Congo DRC
E-mail yangu:
esdraskitakya@gmail.com

Esdraskitakyablogger said...

Kutoka Beni Congo DRC.
E-mail yangu ni:
esdraskitakya@gmail.com

Esdraskitakyablogger said...

Kutoka Beni Congo DRC.
E-mail yangu ni:
esdraskitakya@gmail.com

Anonymous said...

uko wap njoo kwangu

Unknown said...

my number is 0744776349

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!