Thursday, 9 July 2015

JK AWASILI DODOMA TAYARI KWA VIKAO VYA UTEUZI WA MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM

 Ndege iliyombeba Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikitua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili ya Chama.


 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteremka kwenye kiwanja cha Ndege Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM  Ndugu Nape Nnauye mara baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!