Wednesday, 8 July 2015
DAR ES SALAAM MWAKA 1887.
Hii Magogoni eneo ambalo leo kuna Taasisi ya Takwimu na Idara ya Mipango. Baada ya jengo kushoto ndio kona inayoingia Ikulu. Wakazi hawa wanatoka Feri. Kulia mwa picha ni mvuvi anayeishi hapo pembeni ya Bandari ya Salama. Zama hizi nchi ilikuwa chini ya Wajerumani chini ya German East Africa (Deutch Ostafrica). Lakini visiwa kama Mafia, Zbar, Pemba, Mombasa, Lamu na Kismayu vilikuwa chini ya Mfalme wa Oman.
EDMUND MATOTAY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment