Sunday, 21 June 2015

WALIOFARIKI KWA KUNYWA POMBE YENYE SUMU WAFIKIA 90

Waombolezaji wakiwa na picha ya mmoja wa watu waliofariki kwa kunywa pombe yenye sumu huko India.

Mwili wa mmoja wa watu waliofariki katika tukio hilo.
Vilio na simanzi miongoni mwa ndugu wa watu waliopoteza maisha.
ZAIDI ya watu 90 wamefariki dunia mpaka sasa baada huku wengine wakiwa hospitali baada ya kunywa pombe inayodaiwa kuwa na sumu huko mjini Mumbai nchini India.
Vifo vya awali viliripotiwa Jumatano iliyopita.
Naibu Kamishna wa Polisi katika mji huo amesema kuwa watu 150 walikunywa pombe hiyo inaodaiwa kuwa na sumu.
Credit: BBC

1 comment:

Anonymous said...



aziz bilal20:41


1
Reply

Hiyo ni kawaida kwa pombe kutengenezwa kienyeji bila ya kuwa na viwango,hata huko kwetu Africa inatokea sana hali kama hiyo.

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!