Sunday, 21 June 2015

Steve Nyerere Kutangaza Nia Leo, Viwanja Vya Kinondoni Bwawani

Tuungane rasmi nami katika kutangaza nia kinondoni. Ndugu zangu punde mtakuwa na mkutano mkubwa kinondoni bwawani. Sehemu ambayo mimi nimezaliwa na kusoma na kuishi apo. So natangaza nia rasmi kuwa naweza kuwa mfano kwa vijana wenzangu. Kinondoni tumekuwa na mateso mbali mbali.




Kwa mfano mafuriko akuna kiongozi aliyeweza tatua, bara bara, mikopo midogo midogo kwa kina mama, ajila kwa vijana, ongezeko la ada mashuleni kupanda nani anakemea , uchafu wa wilaya, tiba kwa wazazi wetu leo mzazi anaenda kujifungua anaambiwa umekuja na pamba groups mkasi, vitanda kuwa vichache kwenye wodi zote, gari la wagonjwa ni mmoja tuu, manispaa wanachukua kodi zetu je zinafanya kazi gani. Katika kuimalisha kinondoni.
Naomba kusema saa ya ukombozi ni sasa. Kijana akiwezeshwa anaweza.pamoja tutashinda. Mama zangu dada zangu kaka zangu baba zangu wadogo zangu ni mimi Steve mengere 
Steve Nyerere on Instagram

1 comment:

Anonymous said...

aziz bilal20:39


1
Reply

Naye anataka kuwa rais baada ya JK nini?...Urais wa Tz sasa naona umeisha kuwa ni kichekesho hata bunge letu nalo linaelekea huko huko ktk kichekesho,mpaka na akina nanii nao wanataka kuwa wabunge.Ha ha ha ha ha ha ,nimecheka mpaka mbavu zangu zote zinamaumivu sasa.

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!