Msikilize Faiza akiongea na clouds FM…Roho imeniumaaaa…
Alafu huyu mpuuzi wa clouds FM hivi ni upuuzi gani huu kafanya unajua kambeza sana eti mavazi yako ndo yamekuponza, aiseee kwanini wanawake tunanyanyasika hivi jamani… Huyu mtangazaji kwanini aseme mavazi yamemponza? kilichomponza Faiza ni kumwambia Sugu atoe pesa za kumuhudumiwa mwanae…
RUGE MUTAHABA Please sikiliza hii clip ,you have a daughter now imagine 20yrs from now mtangazaji wa radio amtreat mwanao hivi?is this profesional ??unajua kuna issue za utani na kuna issue ambao mtangazaji inabidi awe na roho ya ubinadamu yani mwanamke analia kwa uchungu kabisa machozi mtangazaji anamuongelesha kishenzi hivi?? Nimejikuta nalia.Yani kamdhalilisha sana huyu mwanamke….
RUGE PLEASE TUNAOMBA HUYU MTANGAZAJI UMPE SUSPENSIONS YA 1 MONTH… THIS IS UNACCEPTABLE JAMANI….
Yani mwanamke anyanyasike hivi kisa mavazi, mavazi jamani……HAPANA AISEEEE.WE HAVE TO DO SOMETHING…
Mwanamke kabeba mimba 9 months, kwa uchungu kamzalia mwanaume mtoto kwa vile anampenda. Mwanaume still akamuacha dada wa watu. Still hakutoa mimba yake akaamua kumleta mwanae duniani.Huyu mwanamke amekuwa akimlea mtoto mwenyewe ,yuko very involved na life ya mwanae, ni mama haswaa. Huyu Sugu hajui hata the name of the school ya mtoto, hakuna hata mwalimu wa mtoto anaemjua Sugu wanamjua mama yake, kila siku asubuhi huyu dada anam drive mwanae shule. Huyo sugu kawahi hata kumdrop mtoto shule?Leo hii ndani siku moja mtoto abebwe then media kubwa kama CLOUDS FM wanashindwa hata kuangalia issue wanazidi kumdhalilisha jamani? Yani ingekuwa nchi zingine hiyo law suit ambayo wangeipata hii radio wangeshaaa…Imagine mwanamke anavyolia kwa uchungu kwenye hii clip huyo mjinga anajiita mtangazaji anazidi kumtreat Faiza kama kitu gani sijui….
MH. SUGU, FAIZA NA MTOTO WAO IN HAPPIER TIMES…..
Uwiii katoto kazurijeeeeee,,,, Anaitwa Sasha….. UWIII KAZURIIIIIII…..
Mh. Sugu akiwa na mwanae Sasha….
I love this pic of Faiza na mwanae……
Haya ni maneno ya Faiza alivyofunguka insta 2 weeks ago kuhusu maisha yake na Sugu…
Its clear to see aliumizwa mnoooo na Sugu…….
Akiwa na mwanae beach…..So cute….
Hii ni moja ya picha zilizotumiwa na mh. Sugu mahakamani kudai kuwa Faizia anatembea uchi na mwanae pia anamtembeza uchi
so hafai kuwa mama…lol…Ushuzi mtupu……
Faiza akiwa kwenye red carpet kwenye Kili Music Awards, pia ni moja ya picha ambazo faiza aliwasilisha mahakamani….
Hii ni copy ya summons aliyopokea Faiza…. soma haijaeleza kitu zaidi ya kuwa anatakiwa mahakamani Sugu anamdai. Yani kama vile walitaka kumpa suprise….Uonevu gani huu.Nani kawahi kuitwa kwenye custody case kishenzi hivi??Then ufike bado unabutwaa ujieleze,kesho yake hukumu mwenzio kashinda….
Asalam Aleykum jamani, nimemaliza kufturu sasa ngoja nitiririke na issue hii..
Naona wanawake wamechukia mnoooo Faiza kunyang’anywa mtoto wake na kuna wale wanaojianya wanajua sana utamaduni wa Tanzania..Mfyuu…
Kwa jinsi nilivyo ielewewa hii kesi ni kwamba kesi imesikilizwa wiki iliyopita na jana hukumu ikatoka…
Ni kwamba Faiza alipelekewa summons ya mahakama Alhamisi kuwa aende mahakamani Ijumaa na Ijumaa walisikilizwa pande zote mbili na jana Jumatatu
hukumu ikatoka kuwa SUGU kashinda kesi.
Jamani something is very very wrong here maana hakuna custody case inachoyochukua muda mfupi hivyo, uwiii naomba kuuliza kuna mmoja wenu amewahi kupitia custody case iliyochukua process ya 1 week au 2 days.
Kwanza kuna process za paperwork nyingi tu between lawyers mpaka kesi ianze kusikilizwa na hukumu itoke ni process ya no less than 3 months jamani….
Basi nikajisemea Au labda Sugu alifile kitu kinaitwa emergency child custody kitu ambacho ndo kingeweza kufanya kesi ikaenda fasta hivi na Faiza kunyang’anywa mtoto wake haraka hivi… Na kama this is what happened, then hatuwezi kusema kuwa Sugu kashinda kesi sababu yeye anakuwa anapewa mtoto kwa muda tu huku kesi ikiendelea ila sasa nimecheki aisee ni kwamba Mheshimiwa kashinda na kesi imekwishwa. uwiiii sio kwamba inaendelea imekwisha…
Sugu akadai kuwa eti Faiza anampiga mtoto wao picha za utupu na anaziweka kwenye mitandao
Hii ni moja ya picha Sugu alizopeleka mahakamani kuonyesha mwanae akitembezwa uchi…..hahahha,uwiiii jamani basi kuna wamama wa kitanzania zaidi ya milioni huko insta wanatakiwa kunyang’anywa watoto fasta kama tatizo ni picha kama hizi….Kiruuu…… Uwiii, picha za beach na kitoto chako eti ndo zinafanya uonekane sio mama bora…uwiii…..
Sugu alivyoenda mahakamani Ijumaa alienda na hizi picha kutumia kuonyesha kuwa Faiza hafai kuwa mama…. Wakapewa muda wa kujieleza na hakimu Akajieleza sanaaaa na wakaambiwa warudi Jumatatu ambayo ndo jana na jana kwenda wakaambiwa Sugu kashinda kesi…..
Jamani naomba muache kuropoko huko insta eti huyu mwanamke alikuwa anatembea uchi…Akitembea nusu uchi inamuhusu nini mwanae? tena hata akitembea uchi wa unyama ina muhusu nini mwanae? Sheria inasema mtoto awe na mzazi atakaeweza kuprovide safe environment kwa mtoto… Huyo mtoto wa Faiza anasoma internet anaona picha za nguo za mamake? au huwa anatoka na mamake usiku akiwa na hizo nguo? Huu ndo unyanyasaji wa wanawake tunaoupigia makelele…..
Faiza wakati anajieleza aliwaambia hivi huyu baba anaemtaka mtoto ambu muulizeni kama anajua hata mtoto anasoma wapi? Sugu kuulizwa hajui hata shule anayosoma mtoto? just to show jinsi sio baba, halipi hata school fees. Sugu alimwacha huyu mwanamke kama mbwa tena huku nana mtoto mchanga. Dada wa watu kastruggle aishi na mwanae ten posti zingine ukisoma huko insta unaona kuwa bado anatamani angekuwa na Sugu ila sugu ndo hamtaki….Yani unaona alivyoumia kuachwa na Sugu….
Wengine wana jugde mama malaya (mnanifanya naandika maneno makali mwezi mtukufut). Hivi nyie mnao mjudge Faiza mmeshwahi kuachwa na mwanaume unampenda tena huku unamtoto mchanga? unajua mwanamke anavyodata? kuna wengine wanakuwaga vichaa kabisaaaaa. Alafu unamuona mtu ndo kawa Mbunge sijui nini na hakujali senti yake moja huioni…. Na kama mahakamani waliamua kuangalia personal life za wazazi maana mavazi ya Faiza yaliangaliwa je personal life ya Sugu je? Hivi walisikiliza ile nyimbo ya ANTI-VIRUS yale matusi??? je yule ni mzazi wa kulea mtoto wa kike??? eeh si wanaangalia personal life,hiyo je? JE Sugu katekeleza wanawake wangapi,tena anawaacha vibaya jamaniii, kuna yule Sarah wa Sweden, kuna Jestina kuna SHYROSE BHANJI, kuna mwingine alikuwa nae wakati anaanza kampeni za Ubunge nae unaambiwa kaachwa vibaya…Huyo Sarah wa Sweden ndo kidogo adate.In short Sugu ni mdhalilishaji wa wanawake ana roho mbaya hajali atakuacha mchana kweupe. Sio mtu wa kupewa kulea mtoto wa kike kama issue ni personal life, au mpaka na yeye picha zake enzi zile akieperform boxer nje zipelekwe mahakani? kwani boxer si chupi pia? Sugu hajui mwanae anaishi vipi anakula nini? hatoi hata senti moja ya child support toka mwanae kazaliwa leo hii mahakama inampa mtoto in 1 day , eti… Is that fair??
Huyu Faiza nae kuna waya imepiga shoti kichwani akawaambia kama issue ni uvaaji wangu wa nguo ntaacha kuvaa hivyo si mpe warning kuliko kumchukua mwanangu. Akasema huyo anaedai mie sifai kuwa mama yeye mwenyewe kwanza ni MFI****I , amejaribu kunifanyia hiko kitendo more than 3 times namkatalia ila ndo tabia zake je mninyang’anye mie mtoto based on mavazi then mkampe mtu MFI***I mtoto wangu??? hahahhahaha, huyu dada kapinda aiseee, unajua alisema mahakamani eeh?Sugu alivyodai kuwa mama mtu anasafiri sana akapeleka na picha za instagram mama mtu akiwa kasafiri. Faiza akawambia huyu ni Mbunge yeye mwenyewe anasafiri sana na hana muda. Which is true jamani kila mtu anajua life ya mbunge huyo Sugu atakaa na mtoto saa ngapi? Then Sugu akasema kuwa kama yeye akiwa kazini mtoto atakaa na mama yake, Faiza akajibu huko kwa mama yake ndo mwanangu sitaki aende sababu huyo mamake anakaa na wadogo zake Sugu wakiume wawili na hao wadogo zake wawili walikuwa wanamkamata na wanamlala housegirl wao wote wawili kiasi kwamba housegirl kapata mimba na kazaa humo humo ndani mwao haijulikani mtoto ni wa kaka yupi. uwiiii,hii family ni kiboko…Kwanza kabisa hapa nimeshaona kuna case ya rape au unyanyaji wa kijinsia uliofanywa na familia ya MH.SUGU na huko Bungeni angetolewa kwa muda mpaka awafikishe ndugu zake kizimbani yuko busy kunyanyasa watoto wa watu wakati ndugu zake wamemlala mahousegirl tena kwa zamu kwa tani yao mpaka mtoto wa wa watu kazaa mtoto baba hajulikani tena akafanyiwe na DNA tujue baba nani. Nimechukia mnoooooo huyu Faiza alivyofanyiwa…..Kama ana vaa uchi ni yeye jamani inahusiana nini na uwezo wake kama mama???
Na sasa ngoja tuweke wazi sababu ya Sugu kwenda kudai mtoto wake, Sio kwamba anamjalia sana mwanae ana anaogopa Faiza atamwaribu mtoto. NOPE.Sugu kaenda kudai mtoto wake sababu hii, 2 months ago Faiza alianza kumdai pesa ya matunzo ya mtoto sana sana rent ya nyumba akamwambia basi washee hata rent la sivyo ataenda mahakamni. Na meseji za simu anazo alivyokuwa anamdai Sugu Pesa. ila huyu mbunge na pesa yooote anayoipata bungeni akaona uchungu sana kumpa Faiza pesa ndo akaona akamfanyizie….
Jamani Faiza is no angel na kwa maisha ya mtanzania wengi wanaweza wasimuelewe na zile nguo zake ila aiseee hizo nguo sio kigezo narudia sio kigezo cha mwanamke kunyang’anywa mtoto…. ..
NA KIBAYA KATI YA VYOTE KANYANG’ANYWA MTOTO KINYEMELAAAAAAA……..KUNA MTU KALA PESA YA SUGU HAPA NA TUNGEPENDA KUMJUA…MTOTO WA WATU HAKUPEWA HATA TIME YA KUJIPANGA EEEH? .Na kibaya sana summons haikumwambia why anaitwa mahakamani, si angejua ili na yeye ajipange apeleke ushahidi kama Sugu..
Hivi mnajua huyu binti aliepelekewaa summons ya mahakama Alhamisi jioni tena summons inasema aende mahakamani kesho yake anadaiwa na Sugu Mbilinyi yani hakujua hata anachodaiwa ni nini? imagine kaenda court hajui hata kama anaenda sababu ya kesi ya mtoto kaambiwa tu anadaiwa kufika huko anakumbana na custody case. Na the next business day which was jana rulling imetoka…Na wala hajapewa copy ya rulling….
INSHORT FAIZA KAONEWA,
JAMANI WAANDISHI WA HABARI KAMA MNASOMA HAPA AU KAMA MNAPENDA HAKI TUNAOMBA MKAFATILIE HII KESI NA MUWEKE WAZI KILICHOTOKEA PALE….
CASE # : 27/1015, MAHAKAMA YA MWANZO MANZESE. KESI ILIKUWA KWA HAKIMU PATRIC. J. VANGINGA.
AANZE KWANZA KUHOJIWA HAKIMU ALIWEZAJE KUAMUA CUSTODY CASE IN 2 DAYS, MBONA SOCIAL WORKERS HAWAKUTUMWA KUANGALIA MAZINGIRA PANDE ZOTE MBILI? WHY HAKUTUMIA SOCIAL WORKERS AU WHY MAMA MTU ALIPEWA LESS THAN 24HRS KUJIANDAA KWA KESI? KWANINI MAMA MTU HAKUPEWA NOTIFICATION MAPEMA WHY LESS THAN 24HRS? MATOKEO YAKE SUGU KAENDA KAJIPANGA HUKU FAUZA KAENDA PALE MWEUPE PEEE…
SUGU ALISEMA KUWA MTOTO ATAKUWA ANAKAA KWA MAMA YAKE SOMETIMES, NA FAIZA ALISEMA HAPO HAPO KUWA WADOGO ZAKE SUGU WANAISHI KWA MAMA YAKE WANAMCHEZO MBAYA WA KUINGILIA WANAWAKE KWA PAMOJA WHY HAKIMU HAKUCHUKULIA HII KITU SERIOUS KUWA MTOTO ANAWEZA KUFANYIWA VITENDO VIBAYA NA BABA ZAKE WADOGO? KWANINI HAKIMU ARUHUSU MTOTO AKAISHI KWENYE NYUMBA AMBAYO INA WANAUME WENYE TABIA HIZO? JE ALITUMA SOCIAL WORKERS KUFATILIA HIYO TUHUMA KWANZA? THIS IS A VERY SERIOUS ALLEGATION NOT TO BE TAKE LIGHTLY NA HAKIMU ALITAKIWA KUFATILIA KWANZA KABLA MAMA MTU HAJAWA DISCREDITED. MTOTO WA HOUSEGIRL ANGEFANYIWA DNA TUJUE KAMA FAIZA MUONGO. EEH MAANA SUGU KASEMA MTOTO ATAKUWA KWA MAMAKE YEYE AKIWA KAZINI SO KITU HIKI NI KIKUBWA MNOO KWELI NI BORA MTOTO ATOLEWE KWA MAMA WA KUVAA VINGUO VYA UCHI NA KUWEKWA KWENYE MAZINGIRA HAYA??? WHERE IS THE LOGIC???
JE ANAJUAJE SUGU ATAWEZA KULEA MTOTO ZAIDI YA FAIZA IKIWA KWAMBA HATA CHILD SUPPORT HAJAWAHI KUTOA??? KWELI ALIBASE DECIOIN YAKE BASED ON PICHA ZA MTOTO KUVALISHWA SWIMMING COSTUME TU????REALLY????
PLEASE MNGEFATILIA……
FAIZA AMEKATA RUFAA , JAMANI KAMA WEWE NI MWANAMKE NA UMESOMA HAPA PLEASE POSTI INSTAGRAM YAKO KUHUSU HII KESI ILI WATU WAANZA KUINGALIA KWA MACHO MANNE ILI HUYU DADA ASIONEWE….. KWANINI WANAUME WATUONEE HIVI JAMANI…
EEEH, Huyu Sugu yeye ni kuacha wanawake kama mbwa kila siku. Huyu mwanamke kamuuza mnoooo. Kadaiwa child support sasa anataka kumchukua mtoto…. Hivi antaka mwanamke ajiue ndo afurahi…. Kila mwanamke anajua inavyouma kuachwa na mwanume unaempenda sana tena ukiwa umeshazaa nae na una mtoto mdogo then imagine akunyang’anye na mtoto…. Kama ni mavazi tu hata judge si angempa mama mtu warning kuwa aache kuvaa hivyo. Ila sio kumfanyia hiyo….
ALL IN ALL SIJAWAHI KUONA CHILD CUSTODY CASE AMBAYO MDAIWA ANAENDA KUJULIA MAHAKAMI KUWA UNA KESI YA CUSTODY..Jamani navyojua mimi hizi kesi hata mahakamani huwa wanakataaga kupokea hivi hizi kuwa kuna process wanatakaga muanze kwanza uswawi wa jamii ikishindikana huko ndo mnapewa documents za kwenda mahakamani mie nilishapitia hii pricess hakuna mambo ya kushtukiziwa na huwa pande zote mbili mnapewa chance ya kuleta ushahidi na mashahidi Faiza kafika pale hajui hata kaitiwa kesi ya mtoto hajapeleka ushagidi wowote ule na kesi kesi ikaamuliwa the next day..
HUU NI UNYANYASAJI WA WANAWAKE NA NDO MAANA WE NEED A WOMAN PRESIDENT NOW JAMANI…. APEWE MWANAMKE URAIS THIS TIME…. CCM MMEPATA CANDIDATES WANAWAKE WENYE QUALITIES ZOOOOTE MUWAPE CHANCE TENA INGEBIDI PRESIDENT NA WAZIRI MKUU WOTE WANAWAKE ILI TUONE CHANGES JAMANI…..RAISI MWANUUME ISSUE KAMA HII HAWEZI KUIPA KIPAUMBELE AT ALL…NA IMAGINE HUYU NI FAIZA TUNAMJUA NDO MAANA KESI TUKAIJUA JE NI WANAWAKE WANGAPI WANANYANYASIKA HIVI?
JOYCE KIRIA…
Calling on you JOyce Kiria. MY SUPER WOMAN WITH INVINCIBLE WINGS – Msaidie huyu binti najua Sugu ni shemeji yako huko Chadema ila funga macho fanya kazi…PLEASE TUNAKUOMBA.Sie wengine msaada tulioweza kumpa ni huu kwa kubwabwaja ila wewe unaweza kumsaidia kwa vitendo.PLEASE HELP HER….
PS: Hivi Sugu ni mbunge wa Mbeya eeh? Mgombea UBUNGE wa CCM huko Mbeya hii kesi itakusaidia sana kumtoa Sugu ubunge…Yani ukiitumia vizuri hakuna mwanamke atakae mpigia Sugu kura huko… Yani mtafute Faiza uende nae aongee na wananchi waone Sugu alivyohonga mpaka akanyang’anywa mtoto wakati yeye aliachwa kama mbwa na Sugu kaenda kumdai pesa ya huduma ya mtoto ndo Sugu kamnyang’anya mtoto…USE THIS nakwambia wanawake watamchukia mpaka maana wanawake wanamachungu sana na treatment wanazozipata kwa wanume. Really, wanaume wamekuwa wanyama sana.First umwache mwanamke then hutaki hata kutoa pesa mwanao ahudumiwe kudaiwa pesa ndo unatumia cheo chako kumpeleka mtu mahakami…
NA WEWE SUGU ACHA KUMTISHIA FAIZA NA NDUGU ZAKE ETI UMEAMBIWA NA RAISI KIKWETE UKAMCHUKUE MTOTO? KIKWETE ANAKUJUA WEWE???? WEWE NANI NCHI HII KWA MFANO? WHO THE HELL ARE YOU?? WHAT IS UBUNGE? KAMA MTU KAMA WEWE ULIWEZA KUWA MBUNGE WHAT THE HECK IS UBUNGE? STEVE NYERERE TU ATAKUWA MBUNGE SOON….HAHAHA… TENA USIMWINGIZE RAISI KWENYE UJINGA WAKO KISA UTISHE WANANCHI. LABDA KAMA ULITUMWA NA FREEMAN MBOWE…MFYUUUUUUU….. TUTAPAMBAMBA NA WEWE MPAKA UMUACHE MTOTO KWA MAMAKE NA PESA ZA MATUMIZI YA MTOTO UTATOA MNYANYASAJI MKUBWA WEWE. UNGEKUWA UNAJUA KUJALI MTOTO WA KIKE HAO WANAWAKE WOTE UNAOWADUMP KAMA UCHAFU KILA SIKU USINGEWAFANYIA HIVYO KWANI WAO SIO WATOTO WA WATU? MWACHE FAIZA ALEE MTOTO WAKE USHAMTESA VYA KUTOSHA UNATAKA UMNYANG’ANYE NA MTOTO WHY??? CHILD SUPPORT UTATOA TUUUUUUU KWA FAIZA NA MTOTO HUMCHUKUI NG’OOOOO…….ROHO MBAYA KA KITU GANI…..
ALLAH ATANISAMEHE KWA HILI NAMTETEA MNYONGE AISEEEEE…. KAONEWA SANAAAAAA,,,SIJAAMINI KUNA UJINGA KAMA HUU TANZANIA…
KAMA KUNA ANAE MFAHAMU HAKIMU PATRIC. J. VANGINGA TUNAOMBA INFO ZAKE KAMA PAST JUDGMENTS AMBAZO ZILIKUWA QUESTIONABLE KAMA HII YA SUGU… INABIDI TUWAANIKE NA MAJAJI ILI HALI IBADILIKE……SITAKI KUMSEMA VIBAYA HUYU JUGDE MPAKA MKINIPA DATA ZAKE VIZURI NDO NITIRIRIKE KWA FACTS… MNIPE CASE NUMBER NA MAJINA YA WADAI NA WADAIWA THEN TUMJADILI HUMU NAE. NA PICHA YAKE KAMA MNAYO…
HIVI NYIE MIE MNGENIPA URAISI JAMANI NEXT UCHAGUZI..HAKI YA NANI NTAISAFISHA HII NCHI ITAKUWA NYEUPE PEEEEEEEEEE….
HAHAHAHA
CRD: U-turn..
No comments:
Post a Comment