Sunday, 24 May 2015

SWEDEN YACHUKUA KOMBE LA EUROVISION SONG CONTEST 2015.







Sweden yashinda tena katika Eurovision song contest 2015, Måns Zelmelöv na wimbo  "Hero" awaletea waswidi kombe nyumbani kwa mara nyingine sweden imeshinda mara sita katika mashindano hayo, yanayofanyika kila mwaka, mashindano yanayoshirikisha  karibu nchi zote za ulaya, Kwa point 365 Sweden imeongoza na Rusia kushika nafasi ya pili ikifuatiwa na Italia.





No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!