Leo ni Siku ya Wafanyakazi Duniani maarufu kama Mei Mosi.
- Hapa Tanzania Kitaifa inafanyika Jijini Mwanza na Mgeni Rasmi ni Mh. Rais Jakaya Kikwete.
Kama tujuavyo leo ni sikukuu ya wafanyakazi al-maarufu kama MEI MOSI
ambayo kitaifa inafanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jiji la Mwanza
sambamba kabisa na ufunguzi wa Soko la kimataifa a.k.a ROCK CITY MALL.
Mgeni rasmi katika sherehe hizi ni Mh. Dr. Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
No comments:
Post a Comment