Wednesday, 29 April 2015

Serikali yazifutia usajili Taasisi zisizo za kiserikali (NGO) 24


  1. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kutoa taarifa

    kwa umma kuwa asasi za kiraia (NGOs) zilizoorodheshwa

    hapa chini zimefutiwa usajili wake kuanzia tarehe ya tangazo hili;

    kutokana na kukiuka matakwa ya kisheria katika utendaji kazi.

    1. Kwa tangazo hili, uhalali wa kufanya kazi kwa mashirika haya


    umekoma na kuendelea kufanya kazi baada ya kufutiwa usajili

    ni kosa la jinai. Viongozi wa NGOs tajwa wanaagizwa kurejesha

    vyeti vya usajili kwa Msajili ndani ya siku thelathini baada ya tangazo

    hili.

    Orodha hii inahusisha mashirika ya kimataifa yanayofanya kazi

    Tanzania. Orodha ya mashirika ya ndani inachambuliwa

    na itatangazwa muda wowote kuanzia sasa;

    1. AFRICA CALL MANAGEMENT INSTITUTE (ACMI)

    2. AFRICA CENTRE FOR PEACE AND DEVELOPMENT

    3. AIDOS - TANZANIA

    4. ASSOCIAZIONE CASAGLIA ROSETTA

    5. COPE-COOPERATION DEVELOPMENT COUNTRIES

    6. DAN CHURCH AID

    7. DIGITAL LINKS TANZANIA

    8. EKKLESIA INTERNATIONAL TANZANIA

    9. FEED THE CHILDREN TANZANIA

    10. GLOBAL ALLIANCE FOR AFRICA TANZANIA

    11. GLOBAL VESSELS TANZANIA

    12. HEALTH DEVELOPMENT INTERNATIONAL (HDI)

    13. EMPOWERMENT RESULT IN BALANCE AND EQUALITY (ERBAAQ)

    14. MENNONITE CENTRAL COMMITTEE IN TANZANIA (MCCTZ)

    15. MIDMAY INTERNATIONAL

    16. PAMOJA INC.

    17. PAN AFRICAN WHEEL CHAIR BUILDERS ASSOCIATION (PAWBA)

    18. JAMII ONLUS

    19. THE BALM IN GILEAD TANZANIA

    20. THE INTERNATIONAL INSTITUTE OF THE IOGT - NTO MOVEMENT

    21. TROCAIRE

    22. VETERINARIANS WITHOUT BORDERS GERMANY(VSF- GERMANY)

    23. WORLD ISLAMIC CALL SOCIETY

    24. WORLD SOCIETY FOR THE PROTECTION OF ANIMALS (WSPA),

    Imetolewa na;
    OFISI YA MSAJILI
    WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!