Amesema Tanzania inaunga mkono Tamko lililotolewa na Mwenyekiti wa SADC na AU Rais wa Zimbabwe Mzee Robert Mugabe kuhusu machafuko hayo na hatua ambazo serikali ya Afrika kusini imechukua ili kuzuia yasiendelee.
Wapiga picha kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakichukua picha na taarifa muhimu wakati Waziri huyo akizungumuza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa JNICC jijini Dar es salaam asubuhi hii.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini wakati Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikini wa Kimataifa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam.Wapiga picha kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakichukua picha na taarifa muhimu wakati Waziri huyo akizungumuza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa JNICC jijini Dar es salaam asubuhi hii.
Balozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa Mh ModestJ Mero pamoja na viongozi wengine kutoka wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakifuatilia mkutano huo.Baadhi ya wanahabari wakiwajibika.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernald Membe akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa JNICC jijini Dar es salaam
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernald Membe akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wakati akizungumza nao kwenye ukumbi wa JNICC jijini Dar es salaam.
(PICHA KWA HISANI YA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
No comments:
Post a Comment