Timu ya Chelsea iko katika harakati za kutafuta mfungaji na huenda wakamchukua mfungaji hodari mchezaji toka nigeria Emanuel Emenike kwa gharama ya paund millioni 16, Timu ya Arsenal na liverpool pia wameonyesha kumtaka mfungaji huyo.
BARCLAY PREMIER LEAGUE TABLE:
- CHELSEA-PTS 67
- MANCITY - 61
- ARSENAL -60
- MAN UNITED -59
- LIVERPOOL -54
- SOUTHAMPTON -53
- TOTTENHAM - 53
- SWANSEA -43
- WEST HAM -42
No comments:
Post a Comment