Saturday 21 February 2015

WAGOMBANAO NDIO WAPATANAO, JOKATE WEMA USHOGA USHOGANI!!


Ule usemi wa wagombanao ndio wapatanao,Umejidhirisha Leo kwa Miss Tanzania2006 namba2,Jokate Mwogelo na Miss Tanzania 2006,wema sepetu. Ilikuwa huko Instagram ambapo Wema sepetu alianika boonge la zawadi alilopewa na Jokate mwogelo na ambao linadhihirisha kabisa kuwa hawa watu hawana Ugomvi baada ya diamond kuwabwaga na kuwa na mademu wengine akiwemo kipenzi chake kipya zari.



Je umeona alichokiandika wema sepetu?hapo juu?"Awwwwwwww......This is too sweet jus like.....Thanks baby...@jokatem @jokatem @jokatem" wow ni boonge la ujumbe unaoonyesha kabisa kuwa diamond hana chake kwa hawa wawili.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!