Monday 23 February 2015

MEZ B AZIKWA MAKABURI YA WAHANGA MJINI DODMA


Maelfu ya watu wa mji wa Dodoma wamejitokeza kuaga mwili wa aliyekuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya marehemu Mez B viwanja vya Mashujaa leo mchana mjini Dodoma.
Baada ya kuagwa mwili wa marehemu Mez B, mwili huo ulipelekwa  kwenye makaburi ya Wahanga yaliyopo eneo la Maili Mbili mjini Dodoma na kufanyiwa ibada yamazishi.

CRD. PAMOJA BLOG

2 comments:

Anonymous said...

Mimi sijawahi kumsikia huyo Mez B na sijui alikuwa anafanyia wapi kazi zake.RIP brother

Anonymous said...


MUBARAKHA KIMWELIYesterday 14:00



Reply

R.I.P Mez B

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!