TUNAOMBA RADHI KWA PICHA.
Ni Tukio la kuskitisha sana ktk kijiji cha songambele wilayani MLELE mkoani KATAVI
watu wasiofahamika wamemvamia mwenyekiti wa kijiji cha songambele na kisha kutenganisha kichwa na kiwiliwili na pia sehemu zake za siri na kisha kukata mkono wake mara mbili baada ya kufanya kitendo hicho walichukua viungo walivyokata kutoka kwa mwenyekiti huyo na kisha kuvitia kwenye sifuria wakaweka maji na kisha kubandika kwenye moto na kuanza kuvipika baada ya Tukio Hilo watu hao walitokomea sehemu isiyofahamika polisi wilayani MLELE wanaendelelea na uchunguzi kubaini wahusika wa tukio Hilo. Tukio Hilo limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba ucku hayo ndo yaliyojiri wilayani kwetu MLELE.
1 comment:
aziz bilal05:47
1
Reply
Sijui ni canibalism hiyo au imani za kishirikina,Sophi huko katavi ndio wapi tena huko?
Post a Comment