TBC1 Wanaonesha live na Wameshaanza Kuapishwa sasa
Hivi 18:10HRS.
-Wakwanza kuapa ni Samweli sitta
-Wapili kuapa ni Mary Nagu
-Watatu kuapa ni Steve Wassira
-Wanne Kuapa ni William Lukuvi
-Watano kuapa ni Christopher Chiza
-Wasita Kuapa ni Harrison Mwakyembe
-Wasaba kuapa ni George Simbachawene
-Wanane kuapa ni Jenista Muhagama
-Watisa kuapa ni Ummy Ally Mwalimu
-Wakumi kuapa ni Steven Masele
-Wakumi na moja kuapa ni Angellah Kairuki
-Wakumi na Mbili kuapa ni Anne Kilango Malecela
-Wakumi na tatu kuapa ni Charles John Mwijage
No comments:
Post a Comment