Sunday, 25 January 2015

DIAMOND AWARUSHIA BURUNGUTU LA MAMILION MASHABIKI WAKE KWENYE TAMASHA LA TIGO KIBOKO YAO LEADERSCLUB

 






 



 



Kwa roho nzuri alokuwa nayo Diamond na kwa kutambua mchango wa mashabiki wake aliamua kurudisha fadhila japo kidogo kwa kuwarushia maburungutu ya pesa wakati akiimba kama ahsante kwa mashabiki .. pengine kuna walokuwa hawana nauli za kuwarejesha makwao..wamepata pesa..kuna walokuwa hawajui.maskin ya Mungu kesho wataamkaje..but wamepata kianzio kuna walopata pesa ya kula bata ..etc... side B sasa . kwanza badala ya kupitia mlango husika karuka ukuta(cjaelewa bdo alikua na maana gani)..mashabiki wenu mloweka kuzomea/kurusha chupa baada ya kuona pesa wakasariti badala ya kuzomea wakaishia kuokota na kudaka pesa na mwisho kupiga shangwe tuu

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!