Wednesday, 5 November 2014

ULIYAJUA HAYA!





Kim Kardashian alikuwa ni (styler) na mfanyakazi wa mastaa kabla yeye kuwa staa, mwanzo alifanya kazi kwa msanii Brandy na pia kafanya kazi kwa Paris Hillton, ambaye sasa hivi ni marafiki wa kupika na kupakua!



LEIGHTON MEESTER




 Supa staa wa "Gossip Girl"- Leighton Meester alizaliwa jela baada ya mama yake kufungwa jela akiwa mjamzito kwa kosa la uuzaji wa bangi na ndipo staa huyo alipozaliwa.

RIHANNA




Uliyajua kama Rihanna ameshawahi kuwa mwanajeshi nchini Bahamas, pekee ndiye alikuwa mwanajeshi mwenye umri mdogo .

JAY Z




Jay Z akiwa na umri wa miaka 12 aliwashawahi kumshut kaka yake mkononi, sababu kaka yake alimuibia pete yake. Jay Z aliaogopa sana kwa kuhofia kufungwa maisha.

DOLLY PARTON




Uliyajua kama malkia wa mkongwe wa muziki wa country   Dolly Parton ni bibi ya supa staa Miley Cyrus? 


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!