Wednesday 19 November 2014

POLISI YATHIBITISHA KUFARIKI KWA TAJIRI MKUBWA BUKOBA







Inasikitisha sana kifo cha huyu bwana Leonard Mtensa kilichotokea ndani ya gari lake, mpenzi wake anashikiliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi. Hapa chini ni picha ya huyo dada na picha ya marehemu.


Jackline Hassan mwenye umri wa miaka 25 aliekuwa na marehemu
Huyu ndie marehemu bwana Leonard Mtensa alikutwa na mauti ndani ya gari lake aina ya IST akiwa na mpenzi wake.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!